Kiwandani
Applicator sticks (30 pcs)

Applicator sticks (30 pcs)

Muuzaji: Kiwandani ✓ Duka rasmi · Dar es salaam

Bado hakuna tathmini

Inatoka: China

IdadiBei kwa kipande
1+ TZS 15,000

Kiasi cha chini cha kuagiza: 1

♡ Ingia ili kuhifadhi kwenye vipendwa
Bei kwa kipande: -
Jumla: -
💬 Ingia ili uongee na muuzaji

Jadili bei na idadi na muuzaji, kisha ulipe salama kupitia escrow.

Maelezo

Sterile Swab Applicator Sticks in Tube (Pack of 30 Pcs) Vijiti safi na salama vya kuchukulia sampuli (Sterile Cotton/Viscose Swab Applicators) vilivyohifadhiwa ndani ya mirija ya plastiki yenye mfuniko wa bluu kwa ajili ya maabara na hospitali. • Salama na Sterile: Kila kijiti kimehifadhiwa ndani ya mrija wake wa plastiki kulinda sampuli isichafuliwe wakati wa kupeleka maabara (specimen transport). • Pakiti ya Vipande 30: Inatosha kwa matumizi ya kliniki, zahanati, na maabara za uchunguzi. • Matumizi Mbalimbali: Vinafaa kwa kuchukua sampuli za koo (throat swab), pua, uke (HVS), vidonda (wound swab), na vipimo vya culture.

Tathmini za wanunuzi

Bado hakuna tathmini
Bado hakuna tathmini.