Kiwandani
Automatic chemistry analyzer

Automatic chemistry analyzer

Muuzaji: Kiwandani ✓ Duka rasmi · Dar es salaam

Bado hakuna tathmini

Inatoka: China

IdadiBei kwa kipande
1+ TZS 15,000,000

Kiasi cha chini cha kuagiza: 1

♡ Ingia ili kuhifadhi kwenye vipendwa
Bei kwa kipande: -
Jumla: -
💬 Ingia ili uongee na muuzaji

Jadili bei na idadi na muuzaji, kisha ulipe salama kupitia escrow.

Maelezo

Fully Automatic Chemistry Analyzer (Mini Biochemistry Analyzer) Mashine ya kisasa ya maabara inayofanya vipimo vyote vya Clinical Chemistry (kama ini, figo, mafuta mwilini, sukari, n.k.) moja kwa moja bila kuhitaji mtaalamu kuchanganya dawa kwa mkono. • Kasi Kubwa (120 Tests/Hour): Inapima sampuli nyingi kwa haraka na kutoa majibu sahihi. • Inajitegemea (All-in-One): Inakuja na mfumo wa ndani (touch screen) na printa ya thermal inayochapisha majibu papo hapo bila kuhitaji kompyuta ya nje. • Inaokoa Muda na Dawa: Inatumia kiasi kidogo cha reagent na inasafisha mirija yake yenyewe (automatic washing).

Tathmini za wanunuzi

Bado hakuna tathmini
Bado hakuna tathmini.