Drip stand
Muuzaji: Kiwandani ✓ Duka rasmi · Dar es salaam
Bado hakuna tathmini
Inatoka: China
| Idadi | Bei kwa kipande |
|---|---|
| 1+ | TZS 50,000 |
Kiasi cha chini cha kuagiza: 1
♡ Ingia ili kuhifadhi kwenye vipendwa 💬 Ingia ili uongee na muuzajiJadili bei na idadi na muuzaji, kisha ulipe salama kupitia escrow.
Maelezo
Hospital IV Drip Stand (Infusion Stand with Wheels)
Stendi imara ya chuma kisichoshika kutu (Stainless Steel) kwa ajili ya kutundikia dripu na dawa za mishipani (IV fluids) wodini, kliniki, na vyumba vya matibabu.
• Ina Ndoano 4 Imara: Inaweza kubeba chupa au mifuko zaidi ya moja ya dripu kwa wakati mmoja.
• Urefu Unaojirekebisha (Height Adjustable): Inapanda na kushuka kirahisi kulingana na urefu wa kitanda au kiti cha mgonjwa.
• Inasogezwa Kirahisi: Ina matairi imara (castors) chini yanayorahisisha kuihamisha kutoka kitanda kimoja kwenda kingine.
Tathmini za wanunuzi
Bado hakuna tathmini
Bado hakuna tathmini.