Kiwandani
Microscope dust cover

Microscope dust cover

Muuzaji: Kiwandani ✓ Duka rasmi · Dar es salaam

Bado hakuna tathmini

Inatoka: China

IdadiBei kwa kipande
1+ TZS 25,000

Kiasi cha chini cha kuagiza: 1

♡ Ingia ili kuhifadhi kwenye vipendwa
Bei kwa kipande: -
Jumla: -
💬 Ingia ili uongee na muuzaji

Jadili bei na idadi na muuzaji, kisha ulipe salama kupitia escrow.

Maelezo

Microscope Dust Cover (Protective Plastic Cover – 51cm) Kifuniko maalum cha plastiki (PVC Microscope Dust Cover) kwa ajili ya kufunika na kulinda darubini (Microscope) dhidi ya vumbi, unyevunyevu, na uchafu inapokuwa haitumiki maabara. • Ulinzi wa Lenzi na Mashine: Huzuia vumbi kuingia kwenye lenzi (objectives & eyepieces) na mfumo wa ndani wa darubini, hivyo kurefusha maisha ya kifaa. • Ukubwa wa Kutosha (51cm): Kinatosha kufunika darubini nyingi za maabara (Binocular, Monocular, na Trinocular microscopes). • Imara na Kinachofutika Kirahisi: Kimetengenezwa kwa plastiki ngumu (waterproof & dustproof PVC) inayodumu kwa muda mrefu.

Tathmini za wanunuzi

Bado hakuna tathmini
Bado hakuna tathmini.