Microscope slides (pack of 50 pcs)
Muuzaji: Kiwandani ✓ Duka rasmi · Dar es salaam
Bado hakuna tathmini
Inatoka: China
| Idadi | Bei kwa kipande |
|---|---|
| 1+ | TZS 12,000 |
Kiasi cha chini cha kuagiza: 1
♡ Ingia ili kuhifadhi kwenye vipendwa 💬 Ingia ili uongee na muuzajiJadili bei na idadi na muuzaji, kisha ulipe salama kupitia escrow.
Maelezo
Laboratory Microscope Glass Slides (Pack of 50 Pcs – 7101)
Slaidi safi za kioo za maabara (Pre-Cleaned Optical Glass Microscope Slides – 50 pcs/box) kwa ajili ya kuwekea sampuli za damu, mkojo, choo, na seli wakati wa uchunguzi kwa darubini (microscope).
• Kioo Angavu (High Clarity Optical Glass): Kinapitisha mwanga vizuri na kutoa picha safi na sahihi chini ya darubini (25.4mm x 76.2mm).
• Kinga Laini Pembeni (Ground Edges): Kingo zake zimesuguliwa vizuri ili zisikate vidole wakati wa kushika au kupaka sampuli (smear).
• Boksi la Vipande 50 (Pre-Cleaned): Zimesafishwa tayari kwa matumizi ya moja kwa moja (ready-to-use) katika maabara za hospitali, zahanati, kliniki, vyuo, na shule.
Tathmini za wanunuzi
Bado hakuna tathmini
Bado hakuna tathmini.