Kiwandani
Pricker (lancing device)

Pricker (lancing device)

Muuzaji: Kiwandani ✓ Duka rasmi · Dar es salaam

Bado hakuna tathmini

Inatoka: China

IdadiBei kwa kipande
1+ TZS 300,000

Kiasi cha chini cha kuagiza: 1

♡ Ingia ili kuhifadhi kwenye vipendwa
Bei kwa kipande: -
Jumla: -
💬 Ingia ili uongee na muuzaji

Jadili bei na idadi na muuzaji, kisha ulipe salama kupitia escrow.

Maelezo

Sterile Blood Lancets / Prickers (Twist-Top Needles – Pack of 100) Sindano ndogo na salama (Blood Lancets / Prickers) kwa ajili ya kuchukua tone la damu kidoleni wakati wa kupima sukari (glucometer), malaria (MRDT), na vipimo vingine vya haraka. • Salama na Sterile: Kila sindano imefungwa kwa kofia yake (twist-top cap) kulinda usafi na kuzuia maambukizi (single-use). • Ncha Nyembamba (Painless Prick): Imetengenezwa kwa chuma laini na chembamba kupunguza maumivu wakati wa kutoboa kidole. • Inaendana na Lancing Devices Nyingi: Inaweza kutumika kwenye kalamu nyingi za kupimia sukari (lancing pens) au kwa mkono moja kwa moja.

Tathmini za wanunuzi

Bado hakuna tathmini
Bado hakuna tathmini.