Kiwandani
Semi-auto chemistry analyzer

Semi-auto chemistry analyzer

Muuzaji: Kiwandani ✓ Duka rasmi · Dar es salaam

Bado hakuna tathmini

Inatoka: China

IdadiBei kwa kipande
1+ TZS 3,300,000

Kiasi cha chini cha kuagiza: 1

♡ Ingia ili kuhifadhi kwenye vipendwa
Bei kwa kipande: -
Jumla: -
💬 Ingia ili uongee na muuzaji

Jadili bei na idadi na muuzaji, kisha ulipe salama kupitia escrow.

Maelezo

Sinothinker SK3001 Semi-Auto Chemistry Analyzer Mashine imara na yenye ufanisi wa hali ya juu kutoka kampuni ya Sinothinker, kwa ajili ya vipimo vyote vya Clinical Chemistry maabara (ini, figo, sukari, mafuta mwilini, n.k.). • Inatumia Dawa Zote (Open System): Inafanya kazi na reagents za kampuni yoyote na inatumia kiasi kidogo cha dawa, hivyo kupunguza gharama. • Printa ya Ndani & Kumbukumbu Kubwa: Ina thermal printer inayochapisha majibu papo hapo na uwezo wa kuhifadhi majibu hadi 10,000. • Rahisi Kutumia: Ina vipimo zaidi ya 70 vilivyopangwa tayari (pre-programmed) na kioo angavu cha LCD, ikifaa kwa zahanati, vituo vya afya, na hospitali.

Tathmini za wanunuzi

Bado hakuna tathmini
Bado hakuna tathmini.