Kiwandani
Semi-auto chemistry analyzer with touch screen

Semi-auto chemistry analyzer with touch screen

Muuzaji: Kiwandani ✓ Duka rasmi · Dar es salaam

Bado hakuna tathmini

Inatoka: China

IdadiBei kwa kipande
1+ TZS 3,200,000

Kiasi cha chini cha kuagiza: 1

♡ Ingia ili kuhifadhi kwenye vipendwa
Bei kwa kipande: -
Jumla: -
💬 Ingia ili uongee na muuzaji

Jadili bei na idadi na muuzaji, kisha ulipe salama kupitia escrow.

Maelezo

Semi-Auto Chemistry Analyzer with Touch Screen (BS-3000M) Mashine ya kisasa ya maabara kwa ajili ya vipimo vya Biochemistry (ini, figo, sukari, mafuta mwilini, n.k.) yenye mfumo rahisi wa skrini ya kugusa (Touch Screen). • Rahisi Kutumia: Ina kioo cha Touch Screen kinachorahisisha kuweka vipimo na kusoma majibu kwa haraka. • Incubator & Printa ya Ndani: Inakuja na nafasi 20 za kupasha joto sampuli (incubating positions) na thermal printer inayochapisha majibu papo hapo. • Inatumia Dawa Zote (Open System): Inafanya kazi na reagents za kampuni yoyote, hivyo kupunguza gharama za uendeshaji maabara

Tathmini za wanunuzi

Bado hakuna tathmini
Bado hakuna tathmini.