Ultrasound printer
Muuzaji: Kiwandani ✓ Duka rasmi · Dar es salaam
Bado hakuna tathmini
Inatoka: China
| Idadi | Bei kwa kipande |
|---|---|
| 1+ | TZS 2,000,000 |
Kiasi cha chini cha kuagiza: 1
♡ Ingia ili kuhifadhi kwenye vipendwa 💬 Ingia ili uongee na muuzajiJadili bei na idadi na muuzaji, kisha ulipe salama kupitia escrow.
Maelezo
Printa ya kisasa na yenye kasi kubwa kwa ajili ya kuchapisha (ku-print) picha safi na angavu za vipimo vya ultrasound papo hapo hospitalini au kliniki.
• Haitumii Wino (Thermal Technology): Inatumia karatasi maalum za ultrasound (thermal paper) pekee, hivyo inapunguza gharama za uendeshaji.
• Kasi na Ubora wa Juu: Inachapisha picha moja ndani ya sekunde chache ikiwa na mwonekano mweusi na mweupe (Black & White) uliokolea na sahihi.
• Inaendana na Mashine Nyingi: Inaunganishwa kirahisi kupitia USB au Video cable kwenye mashine zote za ultrasound (kama Dawei, Mindray, SonoScape, n.k.).
Tathmini za wanunuzi
Bado hakuna tathmini
Bado hakuna tathmini.