Kiwandani
Vein viewer

Vein viewer

Muuzaji: Kiwandani ✓ Duka rasmi · Dar es salaam

Bado hakuna tathmini

Inatoka: China

IdadiBei kwa kipande
1+ TZS 100,000

Kiasi cha chini cha kuagiza: 1

♡ Ingia ili kuhifadhi kwenye vipendwa
Bei kwa kipande: -
Jumla: -
💬 Ingia ili uongee na muuzaji

Jadili bei na idadi na muuzaji, kisha ulipe salama kupitia escrow.

Maelezo

Portable Vein Finder (Vein Viewer / Vein Detector) Kifaa cha kisasa na chepesi cha mkononi kinachotumia mwanga maalum (LED / Infrared) kuonyesha mishipa ya damu (veins) iliyo chini ya ngozi kwa uwazi na haraka. • Hupunguza Maumivu na Usumbufu: Husaidia wauguzi na madaktari kupata mshipa kwa mara ya kwanza wakati wa kuchoma sindano, kuweka dripu (cannula), au kuchukua damu. • Bora kwa Wagonjwa Wote: Kinafaa sana kwa watoto wachanga, wazee, wagonjwa wenye mishipa iliyojificha, au walioishiwa maji mwilini. • Kinachajiwa na Kubebeka: Kidogo, chepesi kuingia mfukoni, na rahisi kutumia katika hospitali, zahanati, maabara, na huduma za dharura.

Tathmini za wanunuzi

Bado hakuna tathmini
Bado hakuna tathmini.