Home / Blog
Learn

Kiwandani Blog

Karibu Kiwandani Blog. Hapa tunashare makala na miongozo kuhusu Import & Export, shipping, CBM, medical equipment logistics, pamoja na tips za kuchagua bidhaa na wasambazaji. Lengo ni kukupa taarifa sahihi kabla ya kuagiza au kusafirisha mzigo wako.

✅ Practical Guides

Steps rahisi za kuagiza, ku-pack, na ku-prepare documents.

✅ Shipping Knowledge

CBM, weight, air vs sea freight na jinsi gharama zinavyopangwa.

✅ Buying Tips

Jinsi ya kuepuka bidhaa fake na kuchagua supplier mzuri.